VIDEO: Mratibu wa timu atoa ratiba nzima baada ya timu kutua Ivory Coast

Mratibu wa timu Abbas Ally amesema baada ya timu kuwasili nchini Ivory Coast wachezaji wamepumzika na kesho jioni wataanza mazoezi rasmi kujiandaa na mchezo dhidi ya ASEC Mimosas utakaopigwa siku ya Ijumaa saa nne usiku.

Abbas amesema hali ya hewa ni joto kama ilivyo jijini Dar es Salaam na timu itafanya mazoezi usiku kwakuwa ndio muda ambao mchezo wetu utapigwa na ndivyo kanuni zinavyotoka.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Abbas amezungumzia ratiba nzima ya timu kuanzia kesho hadi Ijumaa.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER