VIDEO: Meneja wa aelezea ratiba ya timu baada ya timu kufika Uturuki

Meneja wa timu, Mikael Igendia amesema baada ya kikosi kufika Ankara ambapo ndipo kambi yetu itakuwa ratiba ya mazoezi itaanza rasmi kesho.

Igendia amesema programu ya kwanza ya mazoezi itaanza kesho asubuhi.

Tazama hadi mwisho mahojiano haya ili ujue jinsi safari nzima ilivyokuwa tangu tulipotoka jana jijini Dar es Salaam.

 

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER