VIDEO: Inonga ameuzwa FAR Rabat kimkakati

Meneja Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally amesema moja ya sababu iliyofanya klabu kumuuza mlinzi Henock Inonga ni dau kubwa lililotolewa na FAR Rabat huku mchezaji mwenyewe akiwa yupo tayari kuondoka.

Ahmed amesema Inonga alikuwa amebakisha mkataba wa mwaka mmoja lakini baada ya makubaliano ameondoka na klabu inasaka mbadala wake.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amefunguka mambo mengi kuhusu dili la Inonga kwenda FAR Rabat.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER