VIDEO: Ahmed asema Michuano ya Mapinduzi imetusaidia

Licha ya kushindwa kutwaa ubingwa Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amesema michuano ya Kombe la Mapinduzi imetusaidia sehemu kubwa.

Ahmed amesema kocha Mkuu Abdelhak Benchikha amepata nafasi ya kukiona kikosi chake vizuri na kuwajua wachezaji kwa undani katika kipindi cha wiki mbili tulichokuwa Zanzibar.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu usajili na nyota ambao tunatarajia kuwaacha kabla ya dirisha la usajili kufungwa.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER