Akiwa anaendelea na zoezi la hamasa kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya KMC, Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amekuwa na kundi maarufu la vijana jijini Arusha maarufu kama wadudu.
Ahmed amezunguka pamoja na wadudu mitaani kwa ajili ya kuendelea kuwaita Wanasimba ili wajitokeze kwa wingi uwanjani kesho.
Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi ilivyokuwa.