Timu yetu imepangwa kucheza na JKT Tanzania katika mchezo wa raundi ya tatu ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC).
Katika droo ambayo imefanyika leo Simba tutakuwa wenyeji na mchezo huo utakaopigwa Desemba 15 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Tukiwa mabingwa watetezi wa michuano hiyo msimu huu tumejipanga kuhakikisha tunatetea ubingwa wetu.
2 Responses
Kila la kheri mnyama mkali simba