Tumepangwa na Coastal 32 ASFC

 

Droo ya Michuano ya Azam Sports Federation Cup hatua ya 32 imekamilika ambapo tumepangwa na Coastal Union sisi tukiwa ni wenyeji.

Mechi yetu dhidi ya Coastal itapigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kati ya Januari 27 hadi 29 kwa mujibu wa droo iliyofanyika.

Kama tukifanikiwa kuifunga Coastal na kutinga hatua ya 16 tutakuna na mshindi kati ya New Dandee vs African Sports.

Mechi za hatua ya 16 bora zitapigwa kati ya Machi 3 hadi 5.

Dhamira yetu msimu msimu huu ni kuhakikisha tunashinda mataji yote ya ndani ambayo tuliyopoteza.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER