Timu yafanya mazoezi ya mwisho tayari kwa Derby

Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Kituo cha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) jioni tayari kwa mchezo wa Fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya watani wetu wa jadi Yanga utakaopigwa kesho.

Wachezaji wameshiriki mazoezi hayo kikamilifu na wapo tayari kwa mchezo huo ambao utakuwa na upinzani mkubwa.

Mchezo dhidi ya Yanga utakapigwa katika Uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga saa moja usiku.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER