Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi Tanzania Prisons utakaopigiwa kesho saa 12:15 jioni.
Mazoezi hayo yamefanyika leo jioni katika Uwanja wetu wa Mo Simba Arena.
Tunajua mchezo utakuwa mgumu na tunaiheshimu Tanzania Prisons tunategemea kupata ushindani mkubwa lakini tumejiandaa vizuri kupata ushindi.
One Response
Tunawaamini na tupo nyuma yenu
#nguvumoja
#simbasc
#mosimbaarena