Tiketi za Simba Day zimekwisha

Tiketi zote za Tamasha la Simba Day zimekwisha hivyo uwanja wa Benjamin Mkapa leo utapambwa na rangi nyekundu na nyeupe.

Tiketi za Sh 200,000 za Platinum ziliisha siku nne zilizopita na zile za VIP A ziliisha Jumatano jioni.

Saa chache kabla ya kuanza kwa Tamasha tiketi nyingine zote zile za VIP B na C na mzunguko nazo zimeisha.

Tamasha la Simba Day 2021 litakuwa la tofauti kutokana na mpangilio wa matukio kuanzia saa tatu asubuhi hadi muda wa mechi na TP Mazembe

SHARE :
Facebook
Twitter

One Response

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER