Tabiri Kikosi kitakachocheza dhidi ya Ihefu Leo

Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Highland Estate kuikabili Ihefu FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC

Tabiri hapa Kikosi cha kwanza ambacho unaamini kocha Robertinho atakipanga.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER