Tabiri Kikosi kitakachocheza dhidi ya Coastal Union Leo

Kikosi chetu leo saa 9:30 Alasiri kitashuka katika Uwanja wa Uhuru kuikabili Coastal Union katika mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya NBC.

Tabiri hapa Kikosi cha kwanza ambacho unaamini kocha Robertinho atakipanga.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER