Klabu ya Simba imesaini mkataba wa miaka mitano na kampuni ya michezo ya kubashiri, M-BET, kama mdhamini mkuu.
Mkataba kati ya Simba SC na M-Bet ulisainiwa Julai 1 2022.
Taarifa zaidi kuhusu udhamini huu zitatolewa na pande zote mbili siku ya Jumatatu, Agosti 01 2022.