Kikosi chetu leo jioni kimeendelea na mazoezi katika Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu dhidi ya watani wa jadi Yanga, utakaopigwa Jumamosi Mei 8, mwaka huu
Mazoezi kuelekea mchezo huo yalianza jana huku wachezaji wote wakishiriki na wakiwa katika hali nzuri.
Katika mechi hiyo pia hakuna nchezaji ambaye anatarajiwa kukosekana.
One Response
Mungu ibariki simba sc