Queens yarejea Rabat baada ya kutinga nusu fainali

Kikosi chetu kimeanza safari ya kurejea katika mji wa Rabat kutoka Marrakech baada ya kufanikiwa kutinga hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Novemba 3, kikosi kilisafiri kutoka Rabat kuelekea Marrakech kwa ajili ya mchezo wetu wa mwisho wa hatua ya makundi dhidi ya Green Buffaloes ambao tumeibuka na ushindi wa mabao 2-0.

Mchezo wetu wa nusu fainali ambao utapigwa Jumatano Novemba 9, dhidi ya Mamelod Sundowns utafanyika katika mji wa Rabat.

Mechi zetu mbili za kwanza za hatua ya makundi dhidi ya wenjeji ASFAR FC na Determine Girls tulicheza katika mji wa Rabat .

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER