Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) imeweka hadharani majina ya wachezaji na makocha wanaowania tuzo za Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite Women’s Premier League (SLWPL) ambayo imemalizika katikati ya wiki.
Timu yetu ya Simba Queens ambayo imemaliza nafasi ya pili imetoa wanaowania katika category mbalimbali kama ifuatavyo:
Kipa Bora
🔸Gelwa Yona
Mchezaji Bora
🔸 Jentrix Shikangwa
Mfungaji Bora
🔸 Jentrix Shikangwa (Tayari ameshinda tuzo hii kwakuwa ndiye kinara wa ufungaji)
Kocha Bora
🔸 Charles Lukula