Kikosi chetu leo jioni kimefanya mazoezi katika viwanja vyetu vya Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumamosi ijayo.
Ngao ya Jamii, Mtani wa Jadi
VIDEO: Tizi la Mnyama
21 Sep 2021