Klabu yetu imesaini mkataba wa miaka minne na Kampuni ya uuzaji na ukodishaji magari ya Africarriers kwa ajili ya kuzisafirisha timu zetu ikiwamo ya wakubwa, Wanawake (Simba Queens) na vijana chini ya umri wa miaka 17 wenye thamani ya Sh milioni 800
Africarriers, Official Road Transport Partner
VIDEO: Simba ikisaini mkataba na Africarriers
24 Sep 2021