Simba Sports Club
Taddeo Lwanga, Injury Update

Taddeo arejea mazoezini

10 Sep 2021

Baada ya kupewa mapumziko ya wiki ya tatu kutokana na kuwa majeruhi, Kiungo Taddeo Lwanga amerejea mazoezini rasmi pamoja na wenzake.

Taddeo kwa sasa yuko fiti na yupo jijini Arusha akijifua pamoja na wachezaji wenzake kujiandaa na msimu mpya wa ligi.

Advertisement

Kikosi chetu kipo jijini humo kwa kambi ya takribani wiki mbili kabla ya kurejea Dar es Salaam tayari kwa Tamasha la Simba Day litakalofanyika Septemba 19, mwaka huu.

Back to homepage
Share this story