Kikosi hicho kimefanya mazoezi chini ya Kocha mzoefu, Sebastian Nkoma ambaye tumemtangaza jana baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja.
Simba Queens inajifua vikali lengo likiwa ni kuhakikisha tunatetea ubingwa wetu ambao itakuwa mara ya tatu mfululizo.