Simba Sports Club
Newsy

Sakho Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC

5 Jul 2022

Sakho amewashinda Idris Mbombo wa Azam FC na Shiza Kichuya wa Namungo ambao aliingia nao fainali ya kinyang'anyiro hicho.

Katika mwezi Juni Sakho amecheza mechi tatu kati ya tano tulizocheza akitumia dakika 222 na kufunga mabao matatu na kusaidia kupatikana kwa mengine matatu.

Advertisement

Hii ni tuzo ya kwanza ya Ligi kwa Sakho huku akichukua mara mbili tuzo ya mchezaji bora wa mwezi wa mashabiki ya Emirate....

Back to homepage
Share this story