read
news & Articles

Tumepata alama tatu muhimu ugenini
Tumefanikiwa kupata alama tatu muhimu baada ya kuibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya CS Sfaxien katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika uliopigwa

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya CS Sfaxien
Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja wa Hammadi Agrebi kuikabili CS Sfaxien katika mchezo wa nne wa hatua ya makundi ya Kombe

Tuna kibarua kigumu dhidi ya CS Sfaxien usiku wa leo
Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja Hammadi Agrebi – Tunis kwa ajili ya kuikabili CS Sfaxien katika mchezo wa nne wa hatua

Kauli ya Kocha Fadlu kuelekea mchezo dhidi ya CS Sfaxien
Kocha Mkuu Fadlu Davids ameweka wazi kuwa mchezo wa kesho wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien utakuwa mgumu kutokana na

VIDEO: Ahmed asimulia miaka mitatu yakuwa msemaji wa Simba
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amesema haikuwa rahisi kuwa msemaji kwa miaka mitatu kwakuwa timu yetu imebeba mioyo ya watu wengi ndani

Timu yafanya mazoezini ya kwanza Tunisia
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya kwanza hapa Tunisia tayari kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien utakaopigwa