read

news & Articles

Mbosso apagawisha Simba Day kwa Mkapa

Msanii wa Bongo Fleva, Mbosso amewapagawisha maelfu ya mashabiki wetu waliojitokeza kwa wingi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye kilele cha Tamasha la Simba Day.

Kikosi kilichopangwa kuikabili Gor Mahia

Leo kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam kuikabili Gor Mahia katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa wa kilele cha Tamasha

Fadlu: Nimeridhika na Kikosi nilichonacho

Kocha Mkuu, Fadlu Davids ameweka wazi kuwa ameridhika na kikosi chetu kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa mashindano 2025/2026. Fadlu amesema msimu uliopita ulikuwa ni

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC