Simba Sports Club
Pablo Franco, Kocha Mkuu

Pablo atambulishwa kwa wachezaji kambini

10 Nov 2021

Baada ya kuwasili nchini Kocha Mkuu Pablo Franco raia wa Hispania tayari ametambulishwa kwa wachezaji pamoja na benchi la ufundi waliokuwa kambini.

Zoezi la utambulisho limefanywa na Mtendaji Mkuu wa Klabu, Barbara Gonzalez wakati wachezaji wakiwa katika mazoezi ya gym.

Advertisement
Back to homepage
Share this story