Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Muhene 'Try Again' ametembelea kambi yetu hapa jijini Ankara, Uturuki ambako amepata nafasi ya kuongea na wachezaji na viongozi kuhusu malengo ya klabu kuelekea msimu mpya 2023/24
Kambi, Ankara, Msimu mpya
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi atembelea kambi ya timu Uturuki
30 Jul 2023