Kikosi chetu cha Simba Queens saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Uhuru kuikabili Baobab Queens katika mchezo wa raundi ya nane ya Ligi ya Wanawake ya Serengeti Lite Women's Premier League.
Simba Queens, Serengeti Lite WPL
Mechi ya Simba Queens mubashara kwenye Simba App
9 Feb 2023