Simba Sports Club
Simba Queens, CECAFA Samia Women Cup

Mazoezi ya mwisho kabla ya kuivaa Lady Doves FC kesho

8 Sep 2021

Kikosi cha timu yetu ya Wanawake ya Simba Queens leo kimefanya mazoezi ya mwisho kabla ya kukutana na Lady Doves katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa michuano ya Caf Women's Champions League Cecafa Qualifiers 2021 utakaopigwa Uwanja wa Kasarani Septemba 9 saa saba mchana

Advertisement
Back to homepage
Share this story