Simba Sports Club
Magori, Kambi, Pre season

Mahojiano maalumu na Crescentius Magori

27 Aug 2021

Mshauri wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Ndugu Crescentius Magori amefanya mahojiano malaumu na Simba App kuhusu kambi ya timu inayofanyika nchini Morocco, usajili wa wachezaji wapya na mipango ya maendeleo kwa klabu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story