LIVE UPDATES: Fuatilia Mubashara mchezo wetu watatu wa kirafiki dhidi ya Batman A.S
Kikosi chetu leo saa 12:30 jioni kitashuka katika Uwanja wa Soğuksu Spor Kompleksi kuikabili Batman Petrolspor A.S katika mchezo watatu wa kirafiki.
Advertisement
Fuatilia hapa moja kwa moja Updates za mchezo huu kuanzia dakika ya kwanza hadi mwisho ili kujua kila kinachoendelea.