Simba Sports Club
Simba Queens, CAF Champions League

Kocha Simba Queens azungumzia mechi dhidi ya Lady Doves ya Uganda

30 Aug 2021

Kocha mkuu wa timu yetu ya Wanawake ya Simba Queens, Hababuu Ally ameweka wazi kuwa tumejipanga kuhakikisha tunaibuka na ushindi dhidi ya Lady Doves kesho ili kujihakikishia kutinga nusu fainali ya michuano ya Caf Women's Champions League Cecafa Qualifier 2021 inayoendelea hapa nchini Kenya.

Advertisement
Back to homepage
Share this story