Simba Sports Club
Medie Kagere, MK14, Ligi Kuu

Highlights | Dodoma Jiji 0-1 Simba Sc

1 Oct 2021

Mabingwa watetezi tumepata ushindi wetu wa kwanza kwenye msimu wa Ligi Kuu Tanzania dhidi ya Dodoma Jiji kupitia bao lililofungwa na mshambuliaji Medie Kagere

Advertisement