Dakika ya Kwanza - Mechi imeanza
Dakika ya 2 - Batman A.S. wanapata goli
Dakika ya 8 - Mashambulizi kadhaa yanafanyika kwenye lango la Batman Petrolspor A.S.
Dakika ya 11 - Batman 1-1 Simba Sc (Onana Assist Saido)
Dakika ya 15 - Ally Salim anaokoa mpira nakuwa kona
Dakika ya 20 - Water Break
Dakika ya 30 - Bado Batman As 1-1 Simba SC
Dakika ya 40 - Sadio Kanoute anaoneshwa kadi ya njano
Dakika ya 45 - Mapumziko
Dakik ya 46 : anaingia Chama, Ngoma na Bocco wanatoka Luis, Onana na Kanoute
Dakika ya 53 - Saido anafunga goli la pili kwa krosi ya Shomari Kapombe
Dakika ya 65 - Mohamed Husein anafunga goli la tatu assist ya Fabrice Ngoma
Dakika ya 76 - Anatoka Henock Inonga na Che Malone anaingia Kennedy Juma na Hamis Kazi
Dakika ya 78 - Hamisi Bakari anaingia kuchukua nafasi ya Mzamiru Yassin
Dakika ya 80 - Nahodha John Bocco anatupatia goli la 4 baada ya kupokea pasi ya Kibu Dennis
Dakika ya 85 - Anatoka Ally Salim na Kibu Dennis wanaingia Ahmed Ferouz na Akramo
Mpira Umemalizika