Simba Sports Club
Cecafa

Alichosema Kocha Hababuu baada ya mechi dhidi ya Vihiga Queens

6 Sep 2021

Kikosi chetu cha timu ya Wanawake Simba Queens imetolewa mwenye michuano ya Caf Women's Champions League Cecafa Qualifiers 2021 baada ya kufungwa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji Vihiga Queens katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Nyayo

Advertisement
Back to homepage
Share this story