read
news & Articles

Kijili: Ndoto zangu zimetimia
Mlinzi mpya, Kelvin Kijili amesema ndoto yake ilikuwa kucheza kwenye kikosi chetu tangu akiwa mtoto na leo imetimia rasmi. Kijili ameyasema hayo muda mfupi baada

Kelvin Kijili ni Mnyama
Tumefanikiwa kuinasa saini ya mlinzi wa kulia Kelvin Kijili kutoka Singida Fountain Gate kwa mkataba wa miaka miwili. Kijili mwenye umri wa miaka 24 ni

Tutakutana na mshindi kati ya Uhamiaji na Libya 1 Kombe la Shirikisho Afrika
Droo ya Kombe la Shirikisho Afrika imekamilika na tutakutana mshindi kati ya Uhamiaji FC ya Zanzibar au Libya 1 katika hatua ya kwanza ya Kombe

Kocha Fadlu aongoza mazoezi kwa mara ya kwanza
Kocha Mkuu Fadlu Davids ameongoza mazoezi ya asubuhi kwa mara ya kwanza tangu achukue nafasi hiyo. Fadlu ametua kambini jana jioni akiwa na wasaidizi wake

Kwaheri Babacar Sarr
Uongozi wa klabu umefikia makubaliano ya pande mbili ya kuvunja mkataba na kiungo mkabaji Babacar Sarr. Babacar alijiunga nasi katika dirisha la usajili la mwezi

Simba Queens kuanza maandalizi ya msimu kesho
Kikosi cha Simba Queens kinatarajia kuanza maandalizi kesho Alhamisi ya michuano ya klabu Bingwa kwa ukanda wa Afrika Mashariki na kati CECAFA. Akizungumza na Simba
