read
news & Articles

Mchezo dhidi ya Azam kupigwa Septemba 26
Mechi ya Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC ambao ulikuwa haukupangiwa tarehe sasa utapigwa Septemba 26. Baada ya ratiba hiyo sasa ni rasmi

Fadlu, Ahoua wang’ara tuzo ya NBC mwezi Agosti
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amechaguliwa kocha bora wa Ligi Kuu ya NBC wa mwezi wa Agosti. Fadlu amewapiku, Patrick Aussems wa Singida Black Stars na

Simba, Al Hilal hakuna mbabe
Mchezo wetu wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Al Hilal kutoka Sudan uliopigwa Uwanja wa KMC Complex umemalizika kwa sare ya kufungana bao moja. Tulianza

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Al Hilal
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Al Hilal kutoka Sudan katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa. Kocha Fadlu

Timu yafanya mazoezi ya mwisho KMC Complex
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezo wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Al Hilal ya Sudan ambao utapigwa kesho saa 10 Jioni

Tumepoteza mbele ya Kawempe
Mchezo wetu wa kutafuta mshindi wa tatu wa Ligi ya Mabingwa Ukanda wa Afrika Mashariki umemalizika kwa kupoteza kwa mabao 2-0 dhidi ya Kawempe Muslim
