read
news & Articles

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Al Ahli Tripoli
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Al Ahly Tripoli kwenye mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika.

Tunamalizia kazi tuliyoianza Libya wiki iliyopita
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Al Ahli Tripoli katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika.

Timu yafanya mazoezi ya mwisho kwa Mkapa
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Benjamin Mkapa tayari kwa mchezo wa kesho wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya

Fadlu: Tutacheza kwa umakini mkubwa dhidi ya Al Ahli Tripoli
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema katika mchezo wa kesho wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahli Tripoli kutoka Libya tutacheza kwa

Mzizima Derby kupigwa Zanzibar Septemba 26
Mchezo wetu unaofuata wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC ‘Mzizima Derby’ utapigwa Septemba 26 katika Uwanja wa New Amaan Complex Visiwani Zanzibar

Tunaitaka ‘Hasa’ Mechi ya Marudiano ya Al Ahli Tripoli
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema tumeuchukulia kwa umuhimu mkubwa mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahli
