read
news & Articles

Kauli ya Kocha Fadlu kuelekea Derby ya Kariakoo
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema mchezo wa kesho wa Derby dhidi ya Yanga ni muhimu kushinda lakini hatutacheza kwa presha badala yake tutafuta mipango yetu.

Tumeingia Mkataba na Kampuni ya Ujenzi ya Knauf.
Klabu yetu imeingia mkataba wa mwaka mmoja na Kampuni ya kuzalisha bidhaa za ujenzi ya Knauf kutoka nchini Ujerumani. Knauf wanazalisha bidhaa zenye hadhi ya

Queens yaichapa Fountain Gate KMC Complex
Simba Queens imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Fountain Gate Princess katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) uliopigwa Uwanja wa

Kikosi cha Simba Queens kilichopangwa kuikabili Fountain Gate Princess
Leo saa 10 jioni Simba Queens itashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Fountain Gate Princess katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Wanawake

Hivi hapa Viingilio vya mchezo dhidi ya Yanga
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally ametangaza viingilio vya mchezo wetu wa Ligi unaofuata dhidi ya Yanga utakaopigwa Oktoba 19 katika Uwanja wa

Queens yaanza kwa ushindi TWPL
Simba Queens imeanza na ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Mlandizi Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) uliopigwa Uwanja wa
