read
news & Articles

Timu yafanya mazoezi ya utimamu wa mwili Zanzibar
Kkosi chetu kimefanya mazoezi ya utimamu wa mwili asubuhi baada ya mchezo wa jana wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC. Katika mchezo

Tumeibuka na Ushindi dhidi ya Azam
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC uliopigwa Uwanja wa New Amaan Complex Visiwani Zanzibar umemalizika kwa kuibuka na ushindi wa

Fadlu na Ahoua wakabidhiwa tuzo za NBC
Kocha Mkuu Fadlu Davids na kiungo mshambuliaji Jean Charles Ahoua wamekabidhiwa tuzo za Ligi Kuu ya NBC walizoshinda mwezi Agosti. Wawili hao wamekabidhiwa tuzo zao

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Azam FC
Leo saa 2:30 usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa New Amaan Complex Visiwani Zanzibar kuikabili Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Leo tutakuwa New Amaan Complex kuikabili Azam FC
Baada ya kukamilisha mechi mbili za kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika leo saa 2:30 usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa

Timu yafanya mazoezi ya mwisho New Amaan Complex
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa New Amaan Complex tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam
