read
news & Articles

LIVE: Fuatilia Mubashara Mkutano Mkuu wa Wanachama
Wanachama wamekutana katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ajili ya kushiriki Mkutano Mkuu wa mwaka kwa mujibu wa Katiba ili kujadiliana masuala

Pakua Booklet ya Mkutano Mkuu wa 2024
Karibu. Attachments Simba SC AGM Booklet File size: 35 MB

Tumegawana Pointi na Coastal Union
Mchezo wa tano wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union uliopigwa Uwanja wa KMC Complex umemalizika kwa sare ya mabao 2-2. Tulianza mechi

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Coastal leo
Leo saa 10:15 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Coastal Union kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Fadlu Davids

Tupo tayari kuikabili Coastal Union Leo
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mchezo wa leo

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mo Arena
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union utakaopigwa kesho.
