read
news & Articles

Tumechukua alama tatu kutoka kwa Ken Gold
Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa KMC Complex.

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Ken Gold
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Fadlu Davids

Tabiri Kikosi kitakachopangwa dhidi ya Ken Gold
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tabiri kikosi ambacho

Tupo tayari kuikabili Ken Gold Leo
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Ken Gold haina

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Mo Arena
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Mo Simba Arena kwa ajili ya mchezo wetu Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Ken Gold

Kauli ya Kocha Fadlu kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Ken Gold
Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema tunahitaji kucheza soka safi pamoja na kuhakikisha tunapata pointi tatu kwenye mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi