read
news & Articles

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya JKT Tanzania
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Fadlu Davids

Tupo kibaruani tena kuikabili JKT Tanzania
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili JKT Tanzania katika muendeleo wa Ligi Kuu ya NBC. Hapana shaka mchezo

VIDEO: Mazoezi ya Mwisho KMC Complex
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa KMC Complex kwa ajili ya mchezo Ligi Kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania utakaopigwa kesho

Matola: Tunaiheshimu JKT Tanzania
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania utakuwa mgumu na tutaingia uwanjani kwa kuwaheshimu. Matola

Queens yaendeleza ushindi Ligi ya Wanawake
Simba Queens imezidi kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania TWPL baada ya kuifunga Mashujaa Queens mabao 2-0 katika mchezo uliopigwa katika

Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili Mashujaa Queens
Simba Queens leo saa 10 itashuka katika dimba la Kituo cha TFF, Kigamboni kuikabili Mashujaa Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL).