read
news & Articles

Timu yafanya mazoezi ya mwisho Lake Tanganyika
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Lake Tanganyika Kigoma kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya

Kauli ya Kocha Matola kuelekea mchezo wa kesho
Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mashujaa utakaopigwa katika Uwanja wa Lake Tanganyika utakuwa mgumu lakini

Timu kuondoka Alfajiri kuifuata Mashujaa
Kikosi chetu kitaondoka Saa 11 alfajiri kuelekea mkoani Kigoma kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mashujaa utakaopigwa Novemba Mosi. Kikosi

VIDEO: Mazoezi ya Leo Mo Arena
Kikosi chetu kimefanya mazoezi katika Uwanja wa Mo Arena kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC unaofuata dhidi ya Mashujaa utakaopigwa Novemba mosi katika

Mchezo wetu dhidi ya JKT Tanzania umeahirishwa
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuahirishwa kwa mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania ambao ulipangwa kuchezwa kesho katika

Tumezipata alama tatu za Namungo
Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo FC uliopigwa Uwanja wa KMC Complex umemalizika kwa kupata ushindi mnono wa mabao 3-0. Shomari
