read
news & Articles
Banda: Simba miongoni mwa timu tatu bora Afrika
Mchezaji mpya wa kimataifa wa Simba, Peter Banda, amesema kilichomfanya ajiunge na Wekundu wa Simba ni tamaa yake ya kuchezea mojawapo ya timu kubwa za
Kauli ya Kocha Hababuu kuelekea mchezo wa Kesho, Oppah arejea kundini
Kocha Mkuu wa Timu ya Wanawake ya Simba Queens, Hababuu Ally ameweka wazi kuwa tumejipanga kuhakikisha tunaibuka na ushindi dhidi ya Lady Doves kesho ili
Licha ya kushinda kocha Simba Queens hajaridishwa na kiwango
Kocha Mkuu wa Timu yetu ya Wanawake ya Simba Queens, Hababuu Ally hajaridhishwa na kiwango cha nyota wake licha ya kuibuka na ushindi mnono wa
Simba Queens yaanza kutoa dozi Kenya
Timu yetu ya Wanawake ya Simba Queens imeanza vema michuano ya Caf Women’s Champions League Cecafa Qualifiers 2021 baada ya kuifunga PVP FC Buyenzi kwa
Hiki hapa Kikosi cha Simba Queens kitakachoikabili PVP FC
Kocha Mkuu wa Timu ya Wanawake ya Simba Queens l, Hababuu Ally ameweka wazi majina ya wachezaji 11 watakaoshuka dimbani kuikabili PVC Buyenzi ya Burundi
Simba Day Septemba 19
Tamasha kubwa linalosubiriwa kwa hamu na wapenzi wa mpira ndani na nje ya nchi la Simba Day litafanyika jijini Dar es Salaam Jumapili ya Septemba