read
news & Articles

VIDEO: Kikosi charejea Mazoezini Mo Arena
Kikosi chetu leo kimeanza mazoezi kwenye Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa hatua ya 16 bora ya CRDB Federation Cup utakaopigwa Machi,

Timu yarejea mazoezini kujiandaa na Bigman FC
Kikosi chetu leo kimerejea mazoezini kujiandaa na mchezo wa hatua ya 16 bora ya CRDB Federation Cup utakaopigwa Machi, 27 katika Uwanja wa KMC Complex

Queens yapunguzwa kasi TWPL
Simba Queens imepoteza mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) baada ya kufungwa bao moja dhidi ya Yanga Princess katika mchezo uliopigwa

Kikosi cha Simba Queens kilichopangwa kuikabili Yanga Princess
Leo saa 10 Simba Queens itashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Yanga Princess katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL). Miongoni mwa

Simba Queens ipo tayari kwa Dabi Kesho
Kocha Mkuu wa Simba Queens, Yussif Basigi amesema kikosi chake kipo kamili kwa ajili ya mchezo wa Dabi dhidi ya Yanga Princess utakaopigwa kesho saa

Tumechukua alama tatu za Dodoma kibabe
Tumefanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 6-0 dhidi ya Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa katika Uwanja wa KMC Complex.