read
news & Articles
Pablo apanga kikosi kivingine
Kocha Mkuu Pablo Franco, amebadili mfumo kuelekea mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar ambapo ameamua kutotumia mshambuliaji asilia. Katika
Tunazihitaji alama tatu pekee leo Kaitaba
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Kaitaba kuikabili Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC ambao tunahitaji ushindi ili
Simba Queens yaipiga ‘mkono’ The Tiger Queens
Timu yetu ya Simba Queens imeendeleza wimbi la ushindi katika ligi ya Wanawake (Serengeti Lite Women’s Premier League) baada ya kuichakaza bila huruma The Tigers
Pablo: Ubora wa Uwanja utaifanya mechi kuwa nzuri kesho
Kocha Mkuu Pablo Franco, ameweka wazi kuwa mchezo wetu wa kesho dhidi ya Kagera Sugar utakuwa mzuri kuutazama sababu eneo la kuchezea (pitch) la Uwanja
Timu yatua salama mkoani Kagera
Kikosi chetu kimewasili salama mkoani Kagera tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa Uwanja wa Kaitaba saa
Timu kuondoka kesho asubuhi kuifuata Kagera
Kikosi chetu kitaondoka kesho asubuhi kuelekea mkoani Kagera tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya wenyeji Kagera Sugar utakaopigwa Jumatano Uwanja wa