read
news & Articles

Timu yafanya mazoezi Novemba 11
Kikosi chetu kimefanya mazoezi katika Uwanja wa Novemba 11 tayari kwa mchezo watano wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Bravos

Kauli ya Kocha Fadlu Davids kuelekea mchezo dhidi ya Bravos
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema kikosi chetu kipo tayari kwa ajili ya mchezo watano wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya

VIDEO: Ahmed atoa ufafanuzi timu kufanya mazoezi ya mwisho Leo badala ya kesho
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amesema kikosi chetu leo jioni kitafanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Novemba 11 hapa Angola na

Timu yawasili salama Angola
Kikosi chetu kimefika salama nchini Angola kwa ajili ya mchezo wa tano wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Bravos Do

Kikosi kitachosafiri kuifuata Bravos nchini Angola
Alfajiri ya kesho kikosi cha Wachezaji 22 benchi la ufundi pamoja na baadhi ya watu kutoka kwenye Menejimeti wataanza safari kuelekea nchini Angola kwa ajili

VIDEO: Msigwa afikisha salamu za Rais Dkt. Samia kwa wachezaji
Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa Utamaduni na Michezo Greyson Msigwa amewaambia wachezaji kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. Samia Suluhu Hassan anawapongeza sana
