read
news & Articles

Tukirudi kwenye Ligi tunaanza na Tabora United
Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) imetoa ratiba ya mechi za Ligi Kuu ya NBC ambayo itaendelea mapema mwezi ujao. Awali TPLB ilisitisha Ligi Kuu kwa

VIDEO: Kibu atoboa siri ya kiwango chake
Kiungo mshambuliaji Kibu Denis amesema kinachomfanya kuwa bora kila siku ni kufanya mazoezi kwa juhudi, kujituma pamoja na kutambua anachotakiwa kufanya. Kibu amesema mchezo dhidi

Mpango Umekamilika, Tumemaliza Vinara Shirikisho
Ushindi wa mabao 2-0 tuliopata dhidi ya CS Constantine katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika umetufanya kumaliza vinara

Tupo kwa Mkapa kumalizia kazi tuliyoianza
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili CS Constantine kutoka Algeria katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi

Fadlu: Hatuna Presha na mchezo dhidi ya CS Constantine
Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema pamoja na umuhimu mkubwa uliopo wa kutafuta alama tatu katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya Kombe la

Tumetoa Msaada Kituo chenye Uhitaji Sinza
Uongozi wa klabu ukishirikiana na Mo Dewji Foundation umetoa zawadi mbalimbali katika Kituo chenye uhitaji cha Sinza ikiwa sadaka kuelekea mchezo wetu wa Kombe la
