read
news & Articles

Tumetinga 32 Bora CRDB Federation kwa kishindo
Tumefanikiwa kutinga hatua ya 32 bora ya CRDB Federation Cup kwa kishindo baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 6-0 dhidi ya Kilimanjaro Wonders

Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Kilimanjaro Wonders
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Kilimanjaro Wonders kwenye mchezo wa hatua ya 64 ya CRDB Federation Cup.

Matola: Hatucheki na wowote CRDB Federation Cup
Licha ya wapinzani wetu katika hatua 64 bora ya CRDB Federation Cup Kilimanjaro Wonders kuwa timu ya daraja la chini lakini hatutaidharau badala yake kesho

Bunge Bonanza kufanyika Februari Mosi Dodoma
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Bonanza, Mbunge wa Makete, Festo Sanga amesema Bonanza la mwaka huu litafanyika Februari Mosi na kama kawaida litashirikisha mashabiki wa

Queens yaishushia mvua ya mabao Mlandizi
Simba Queens imefanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 11-0 dhidi ya Mlandizi Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake uliopigwa Uwanja wa KMC

Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili Mlandizi
Simba Queens leo saa nane mchana kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Mlandizi Queens katika muendelezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL). Mshambuliaji
