read

news & Articles

Kwaheri Rally Bwalya

Uongozi wa klabu yetu umefikia makubaliano ya kumuuza kiungo mshambuliaji Rally Bwalya kwa timu ambayo hatutaiweka wazi kwa sasa kutokana na matakwa ya kimkataba. Bwalya

Tuzo yamuongezea mzuka Kibu

Kiungo mshambuliaji Kibu Denis, amesema tuzo ya mchezaji bora wa mashabiki mwezi Mei (Emirate Aluminium ACP Simba Fans Player of the Month) imemuongezea morali ya

Tumechukua tatu za Mbeya City

Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Phiri: Ndoto yangu imetimia

Nyota wetu mpya Moses Phiri, amefunguka kuwa ndoto yake imetimia baada ya kufanikiwa kutua katika kikosi chetu na kusaini mkataba wa miaka miwili. Phiri raia

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC