read
news & Articles

Tumewafunga Gor Mahia kilele cha Simba Day
Mchezo wetu wa kirafiki wa Kimataifa katika kilele cha Simba Day uliopigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam umemalizika kwa ushindi wa mabao

Kikosi kilichopangwa kuikabili Gor Mahia
Leo kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam kuikabili Gor Mahia katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa wa kilele cha Tamasha

Fadlu: Nimeridhika na Kikosi nilichonacho
Kocha Mkuu, Fadlu Davids ameweka wazi kuwa ameridhika na kikosi chetu kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa mashindano 2025/2026. Fadlu amesema msimu uliopita ulikuwa ni

Mashabiki wajitokeza kwa wingi kwenye mbio za Hisani
Mamia ya mashabiki wamejitokeza kwa wingi kushiriki mbio za Hisani (Fun Run) zenye urefu wa kilomita sita kutoka Coco Beach hadi Sea Clieff na kurudi

Mpira Pesa Mabingwa wapya Tembo Card Simba Matawi Bonanza
Timu ya Mpira Pesa Group kimefanikiwa kuibuka Mabingwa wa Tembo Card Simba Matawi Bonanza baada ya kuichapa Simba Asilia bao moja katika mchezo wa fainali.

Ahmed: Simba tunathamini na kushirikiana na jamii
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema mara zote tumekuwa tukithamini na kushirikiana na jamii katika kusaidia jamii yenye uhitaji lengo likiwa ni